Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Sahivi 10:49 PM, salary haijaingia hafu uhakika wa kula mdogo.

Nikileta masihara leo nakesha na uzi wa "JF Usiku wa Manane"
Mkuu huwezi lala njaa na una simu au kifaa chochote kile ndani, beba kaweke bond, kesho mzigo ukiingia unaenda kukomboa.πŸ˜…
 
Songesha mimi simshauri, labda salary advance kidogo.
Hahaha........kwamba Riba za Songesha ni kubwa kuliko Salary advance??

Nashauri ajifunze ujasiriamali, afungue hata Saluni ya kiume ya kawaida ili Kijana awe anamletea hata 60k Kwa wiki itamsaidia kumpiga tafu nyakati ngumu kama hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…