Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Wajeda wamelipwa jana mkuu. Mida ya saa nane mchana hivi,mimi shuhuda wa hilo..maana wife ni mjeda pia. Sisi wa Tamisemi bado πŸ˜€
Atleast familia hailali njaa.
 
Huu Uzi huwa naukuta una trend kuanzia tarehe 21 Kila Mwezi

Nikifanikiwa kuwa paymaster general, nitakuwa nalipa Mishahara mara mbili tarehe 15 ya kila Mwezi na tarehe 30 😜
Kulipa mara 2 ingekua poa sana. Tatizo ivi vihela vyetu jau sana, still tutaanza kulia tena
 
Hahaha au ingekua option unachagua mtu ulipwe mara ngapi
Maaskari miaka ya nyuma walikuwa wakilipwa fedha ya lesheni tarehe 15 then mshahara tarehe 22, ilikuwa inawasaidia. Siku hizi sijui kama huu utaratibu bado wanao

Ila all in all vyema kujiongeza Kwa kufanya ujasiriamali kidogo ili kusaidia Mishahara kukutana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…