MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Awali alitaka Mshahara wa Tsh Milioni 350 kwa Mwezi ila baada ya Majadiliano na Klabu aliyoipenda ya Simba baada ya Kusimuliwa na Timu ya Sevilla ya Hispania iliyokuja Tanzania kucheza na Simba SC sasa amekubali kupokea Mshahara wa Tsh Milioni 250 kwa Mwezi na mpaka sasa ameshalipwa tayari Mishahara yake ya Miezi 6.
Yafuatayo ni Malipo ya Mishahara ya Masikini Watano wa Twiga na Jangwani....
1. Nabi...Tsh Milioni 2 na Laki 5
2. Kaze...Tsh Laki 9 na Elfu 75
3. Zahera...Tsh Laki 5 na Elfu 50
4. Manara...Tsh Laki 1 na Elfu 65
5. Bumbuli..Tsh Elfu 75 na 250 tu
Karibu sana Simba SC Kocha Pablo.
Yafuatayo ni Malipo ya Mishahara ya Masikini Watano wa Twiga na Jangwani....
1. Nabi...Tsh Milioni 2 na Laki 5
2. Kaze...Tsh Laki 9 na Elfu 75
3. Zahera...Tsh Laki 5 na Elfu 50
4. Manara...Tsh Laki 1 na Elfu 65
5. Bumbuli..Tsh Elfu 75 na 250 tu
Karibu sana Simba SC Kocha Pablo.