Mshahara wa Kocha mpya Simba SC Pablo Franco unalipa Mshahara wa Nabi, Kazi, Zahera, Manara na Bumbuli huku Chenji ikibaki pia

Hii taarifa siyo ya kweli! Haya ni maneno ya unazi na upenzi kwa upande mmoja na ufitini kwa upande mwingine. Lete USHAHIDI!
 
Upupu kwenye ubora wako
 
We mbweha uliyenzisha hii mada kamasi zimeshakauka kichwani mwako sasa eh?

Tumepiga hat trick ya makombe.



Na tumeweka historia ya ligi kuu Tanzania kwa kuwa timu ya kwanza kumaliza ligi ikiwa imefungwa chini ya magoli kumi.



Hiyo ndo kazi ya Professor Nabi.

Na masuala ya hela Yanga kwa sasa usiongelee. Hakuna timu yenye hela kuliko Yanga kwa hivi sasa.
 
M
Ukame wa miaka minne ya UKAME siyo mchezo, huu ni umri wa mtoto kwenda shule. Katika shida kama hizo, sasa mhna ayo haki ya kufurahi, ingawa ni kwa kitambo kidogo tu!
 
M

Ukame wa miaka minne ya UKAME siyo mchezo, huu ni umri wa mtoto kwenda shule. Katika shida kama hizo, sasa mhna ayo haki ya kufurahi, ingawa ni kwa kitambo kidogo tu!
Mnaoshangaa miaka minne ni watoto mliozaliwa wakati wa Jakaya, hamuijui Simba iliyonusurika kushuka daraja.

Na kwa kuwa hujui siri ya Yanga kukosa ubingwa miaka minne ndo maana unadhani tumebipu. Sasa hivi Simba ndo mtasubiri sana. Hili kombe jipya tunachukua moja kwa moja.

Iwekee alame hii post mwakani mwezi wa saba uipitie tena
 
Hakuna mtu ana deal na UONGO NA UZUSHI NA MIHEMUKO ya kubip!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…