mshahara wa laki mbili tu.

mshahara wa laki mbili tu.

daniellufumbula

New Member
Joined
Dec 22, 2014
Posts
1
Reaction score
0
jamani nina mshahara wa laki mbili tu, na ninamke na mtoto mmoja,hivyo naiona ni pesa ndogo sana make ndo naitegemea kula kuvaa na kila kitu,so nifanye nn ili niweze kujikizi vizuri na kufanya maendeleo mengne?
 
Kama mkeo hafanyi kazi ya kuajiriwa anza kwa kumpatia mtaji Wa 150000,afungue kibiashara kinachoendana na mazingira uliyopo
 
jamani nina mshahara wa laki mbili tu, na ninamke na mtoto mmoja,hivyo naiona ni pesa ndogo sana make ndo naitegemea kula kuvaa na kila kitu,so nifanye nn ili niweze kujikizi vizuri na kufanya maendeleo mengne?

Hapo kwanza ni lazima kabla ya yote utoe elimu ya kifedha kwa familia yako me na watoto na baada ya hapo ndo sasa unaweza panga cha kufanya .

Elimu ya kifedha itasaidia kuwaweka sawa na kutambua kwamba mshahara ni mdogo na matumizi nayo yaendane na mapato na hamtaishi kwa kushindana au kuishi kwa kufuata watu wanavyo taka muishi.

Ili pesa ya mtaji itoshe ni lazima kwanza kuwepo na saving ya kutosha nilazima matumizi yawe madogo kulingana na mapato, cheki Wealth Equation, from their sasa ndo unaweza panga biashara ya mataji mdogo na biashara kubwa zisikutishe nazo zilianza ndogo tu, kikubwa ni malengo, biashara hubakia hapo zilipo miaka nenda rudi kwa sabau wenye nazo hawana malengo
 
Back
Top Bottom