Mshahara wa laki sita (600,000) na ndoto ya utajiri

Void ab initio

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
5,720
Reaction score
5,659
Vijana wengi hasa graduates huwaza kuwa wakipata kazi na kulipwa mshahara watakuwa matajiri. Ndugu kama una mawazo hayo yafute.Huwezi kuwa tajiri kwa kuajiriwa na kulipwa shilingi laki sita (600,000) au kwa kutegemea mshahara pekee, inabidi ujiongeze na uwekeze kwenye biashara na miradi mbalimbali vinginevyo utabaki na ndoto ya utajiri mpaka uzeeni ukisubiri kiinua mgongo na pensheni. Shtuka kijana, wakati ndio huu.

NB;
Sijasema kuwa usiajiriwe hapana, pata ajira na tumia ajira yako kama Njia kukuwezesha kufikia ndoto ya utajiri.
 
Wekeza kwenye muda wa maongezi upate kipato endelevu na cha uhakika
 
Vijana wengi hasa graduates huwaza kuwa wakipata kazi na kulipwa mshahara watakuwa matajiri. Ndugu kama una mawazo hayo yafute.Huwezi kuwa tajiri kwa kuajiriwa na kulipwa shilingi laki sita (600,000) au kwa kutegemea mshahara pekee, inabidi ujiongeze na uwekeze kwenye biashara na miradi mbalimbali vinginevyo utabaki na ndoto ya utajiri mpaka uzeeni ukisubiri kiinua mgongo na pensheni. Shtuka kijana, wakati ndio huu.

NB;
Sijasema kuwa usiajiriwe hapana, pata ajira na tumia ajira yako kama Njia kukuwezesha kufikia ndoto ya utajiri.
Well said mkuu. Ni vyema vijana wakatambua ajira ni kama stepping stone kufikia zile ndoto zao. Umesema vyema kuwa umaanishi wasiajiriwe bali watumie ajira hizo kufika pale wanapotaka. Ushauri tu ni kwamba wasiendekeze roho ya wizi wawapo maofisini bali wajali uadilifu na kufanya kazi kwa bidii. Watafute project za pembeni zitakazo waingizia kipato mbadala.
 
Miye pamoja na marupu rupu ya hapa na pale per mouth napata milioni 50 ila bado naona maisha magumu
Mkuu wewe ni mmojawapo wa wanaotakiwa na Mkuu wa nchi kushushwa na kuishi kama mashetani nini? [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom