Mshahara wa laki tatu Dar

Mshahara wa laki tatu Dar

Ataenda wapi sasa labuda apige dili la wizi.mpwayungu mpaka leo anakula vumbi la chaki na ualimu wake.laki tatu sio mshahara ni panodol inatuliza maumivu siku moja mbili baadae njaa mpaka mwisho wa mwezi
Kujiongeza kupo sio rahisi 10 yrs kiwango kiwe hichohicho
 
Daslam nenda na nguvu na akili zako mengine yote utayakuta huko daslam ndo mji pekee unaweza enda Bila hela na ukarudi tajiri

Lakini pili daslam unaweza enda tajiri ukarudi maskini

Maamuzi ni yako
Azingatie huu ushauri tulikujaga na mabegi ya nguo..

Kwa Sasa
Mbagala kichem chem.
 
Mshahara wa laki 3 unatoboa vizuri tu mm nimeishi na mwanamke kwa huo Mshahara kwa mwaka mmoja na nusu ila tu ukubali kuishi maisha ya kipato cha chini kabisa bila kuangalia watu watakuonaje.
Zingatia kodi chakula then usafiri.
 
Mshahara wa laki 3 unatoboa vizuri tu mm nimeishi na mwanamke kwa huo Mshahara kwa mwaka mmoja na nusu ila tu ukubali kuishi maisha ya kipato cha chini kabisa bila kuangalia watu watakuonaje.
Zingatia kodi chakula then usafiri.
Mwaka gan
 
Unatoboa vizuri na unabakiwa na saving ya 50k kila mwezi

Meal & transport -6000 per day × 30 = 180000
Rent - 50000 per month = 50000
Electricity - 10000 = 10000
Dawasa - 10000 = 10000

Note:

✦Nimeweka average ya 6000 kwa Siku hata w/end ambazo haendi kazini ku balance vitu kama vocha n.k
✦Kuna mtu atakuja kuuliza atanunuaje vitu vya kuanzia maisha hayo tumuachie mwenyewe na akili yake.
✦Kumbuka kwa miaka miwili ya mwanzo wanawake akae nao mbali
 
kwa huo mshahara labda ULALE NJE kwa miezi angalau mi3 man (unye, uoge na ufulie nguo) choo cha stand ili u_MAKE MONEY, kisha ukapange U$WAZI haswa! chumba kisichokua na UMEME(20,000/= Tsh kwa miezi 6) na maji ununue ya DUMU. na hapo achana na kitu kinaitwa MWANAMKE, labda wale wa (buku3 kwa bao 1) tena (umt*mbe mara 1 kwa mwezi, lakini usisahau CONDOM man) baada ya (mwaka m1) angalau ndio utajiona picha yako ya MAFANIKIO. kila lakheri master!
N.B
MJINI AKILI, kijijini NGUVU.
 
Hilo swali hautopata majibu sahihi Ila kila MTU Ana life path yake .

Hiyo Kazi ni stepping stones itumie kukufikisha sehemu Fulani .

Ukifika DSM jenga network na watu wenye potential , kuwa nidhamu ya pesa , kaa mbali na mambo yote negative Kama , kamali, pombe ,uzinzi n.k.

Blueprint
NAKAZIA📌🔨
 
Back
Top Bottom