Peter Step
New Member
- Aug 25, 2025
- 4
- 2
Habar zenu naomba kuuliza mshahara wa credit Officer
Wezesha microfinance Ltd
Wezesha microfinance Ltd
Nilienda kwenye interview yaoo , wakauliza swali la salary expectation nikawajibu kuwa tunaweza kukubaliana wakakataa kabisa wakasema wanataka nitaje amount ambayo mimi naitaka , nikaona kama vile ni mtegooSalary is negotiable mkuu,
Nenda weka dau lako kulingana na thamani yako kisha mwachie boss ajitafakari,
Asipoweza kukulipa wewe amua kujiajiri
Okay thank, Ushawahi kufanya kazi nao au umekadiria tuu kiongozi600000/=
Shukkran kiongozi100,000/=