Mshahara wa loan officer wa Wezesha Microfinance Ltd ni kiasi gani?

Salary is negotiable mkuu,

Nenda weka dau lako kulingana na thamani yako kisha mwachie boss ajitafakari,

Asipoweza kukulipa wewe amua kujiajiri
 
Salary is negotiable mkuu,

Nenda weka dau lako kulingana na thamani yako kisha mwachie boss ajitafakari,

Asipoweza kukulipa wewe amua kujiajiri
Nilienda kwenye interview yaoo , wakauliza swali la salary expectation nikawajibu kuwa tunaweza kukubaliana wakakataa kabisa wakasema wanataka nitaje amount ambayo mimi naitaka , nikaona kama vile ni mtegoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…