Tetesi: Mshahara wa Machi vipi? Watoto wanahitajika kurudi toka shuleni kwa likizo ya dharura

Tetesi: Mshahara wa Machi vipi? Watoto wanahitajika kurudi toka shuleni kwa likizo ya dharura

Kuna taarifa za wanachuo na baadhi ya wanafunzi kuzurura na kuendelea kuwepo maeneno ya chuo/shule badala ya kuondoka kutokana na ukata wa wazazi/walezi...tarehe sio...
Kumbuka mfanyabiashara na mfanyakazi wanategemeana....mmoja akikwama mwengine ndio hivyo tia maji tia maji..
 
Bado kuna corona,au huna hata unga mkuu mpaka unatamani wanao warudi Shuleni kungali na gonjwa hili hatari!!!!!?Shuleni nako hakuna ruzuku ya kununulia sanitaiza siju??????iiii!!!!!!.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshahara wa mwezi huu vp jamani watoto wanahitajika kurudi toka mashuleni kwa likizo ya dharura.
Sorry, tarehe 20 leo Mkuu !!, name naungana mkono na wewe,serikali ya wanyonge itoe mabasi iwalete watoto wetu nyumbani aisee.
 
Back
Top Bottom