Tetesi: Mshahara wa Machi vipi? Watoto wanahitajika kurudi toka shuleni kwa likizo ya dharura

Tetesi: Mshahara wa Machi vipi? Watoto wanahitajika kurudi toka shuleni kwa likizo ya dharura

Hivi kumbe mishahara bado?
2020_03_22_13.21.28.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuishi kwa mshahara, ni stress sana..

Sent from my iPhone using JamiiForums
Dah...mshahara ni malipo anayopata mtu baada ya kufanya kazi fulani.... Asiye ishi kwa mshahara ni yule hotpot family ...yaani...kula kulala...kwani hata kama umejiajiri lazima ujilipe mshahara..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
 
Fanyakazi mshahara ukiingia kwenye acc utatumiwa meseji

Niga from Timbuktu
 
Dah...mshahara ni malipo anayopata mtu baada ya kufanya kazi fulani.... Asiye ishi kwa mshahara ni yule hotpot family ...yaani...kula kulala...kwani hata kama umejiajiri lazima ujilipe mshahara..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160

Mm nilikuwa sina maana ya kujilipia mwenyewe..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hadi corona itokomezwe ndio mshahara utatoka,pesa zote zimeelekezwa kwenye dharula hii kwanza,kuwa na huruma na uhai wa watz wenzako,uhai wao ni muhimu sana kuliko elimu ya mwanao
 
Back
Top Bottom