Tetesi: Mshahara wa Machi vipi? Watoto wanahitajika kurudi toka shuleni kwa likizo ya dharura

Tetesi: Mshahara wa Machi vipi? Watoto wanahitajika kurudi toka shuleni kwa likizo ya dharura

Mtuwie radhi jamani, mwenye password ya payroll ameambukizwa corona, tunasubiri apone,hali yake sio nzuri sana,yuko in comma
 
Wajamaa wanavusha siku kimasihara tunarudije home. Wengine tulikuja na nauli ya kujia tu na kadi ya bank.
 
Pole, tambua kuwa nchi iko kwenye hali mbaya jipange mapema mkuu,yajayo ni magumu
Ndio naisubiria tarehe 26 mambo yakae mkao..... Wewe unayelinda na kuikumbuka hii tarehe ikifika tu nywele zinafumuka sasa kuna Corona tulia hakuna kutoka nimewekwa caranten na kadi ya Bank

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajamaa wanavusha siku kimasihara tunarudije home. Wengine tulikuja na nauli ya kujia tu na kadi ya bank.
Pole sana ndugu yangu, Mungu akufanyie wepesi na kukufungulia njia nyingine ... urudi home salama.
 
Kwa kweli watu hatufanani! Wakati wengine wakilalamikia kuchelewa kwa mshahara Wa Machi (wala siyo kuchelewa Bali kufikirika kuchelewa), siye wengine hata hatujui mshahara wa Februari utatoka lini, achilia mbali ule wa machi!
 
Tuko bize kukarabati karantini za wahanga wa korona , tutawatumia elfu kumi kumi kwa Mpesa ili mbangaze hapa na pale mshahara tutawaingizia mwezi ujao wa 4...


Tuwe wazarendo. C C M hoyeeeeeeeeeeeeeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipaumbele ni SGR, Stieglers, Madaraja, Madege nk
Si mmeona jinsi yanavyozuia corona? Bila Dreamliner haki yaa Mungu corona ingepukutisha watu wengi sana. Viva Pombe!
 
Back
Top Bottom