Ekuweme
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 3,520
- 3,962
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi umetoka?
😀 😀 😀 😀 😀Mtuwie radhi jamani, mwenye password ya payroll ameambukizwa corona, tunasubiri apone,hali yake sio nzuri sana,yuko in comma
pole sana mkuuWajamaa wanavusha siku kimasihara tunarudije home. Wengine tulikuja na nauli ya kujia tu na kadi ya bank.
Ndio naisubiria tarehe 26 mambo yakae mkao..... Wewe unayelinda na kuikumbuka hii tarehe ikifika tu nywele zinafumuka sasa kuna Corona tulia hakuna kutoka nimewekwa caranten na kadi ya BankPole, tambua kuwa nchi iko kwenye hali mbaya jipange mapema mkuu,yajayo ni magumu
pole sana mkuu
Pole sana ndugu yangu, Mungu akufanyie wepesi na kukufungulia njia nyingine ... urudi home salama.Wajamaa wanavusha siku kimasihara tunarudije home. Wengine tulikuja na nauli ya kujia tu na kadi ya bank.
Kwa nini usimwbie bosi wako mkuu?Mshahara wa mwezi huu vp jamani watoto wanahitajika kurudi toka mashuleni kwa likizo ya dharura.
Kwangu bado...Tayari mshahara ushatoka