Zemanga zoze
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 1,016
- 1,722
Umetoka ????maana nakaribia Ku dead
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe huwa wana App yao? Itabidi niidownload.Tumia NMB mkononi app ni free of charge bundle lako tu
Acha uzushi wa kilumumba.
😂😂😂😂😂Tayari nasubiria wafungue hii bar
Tarehe 20 unaulizia mshahara?,mwisho wa mwezi huaga tarehe ngapi?,Anko Magu kawadekeza sanaMshahara wa mwezi huu vp jamani watoto wanahitajika kurudi toka mashuleni kwa likizo ya dharura.
Mimi crdb nacheki kadri nipendavyo free in charge. Ikizingua nacheki min statement ya wiki bila kuliwa na benki wala TigoMi huwa ninayo NMB Mobile ila ni mgumu sana kuingia humo hasa nikiwaza makato yao.
Mbafyuuuu mnalipwa tar 24 ndioo maana mnaambiwa mjiongeze mkipigwa redanders mtakufaaa sikuhioo hioo hakikaaMshahara wa mwezi huu vp jamani watoto wanahitajika kurudi toka mashuleni kwa likizo ya dharura.