Tetesi: Mshahara wa Machi vipi? Watoto wanahitajika kurudi toka shuleni kwa likizo ya dharura

Tetesi: Mshahara wa Machi vipi? Watoto wanahitajika kurudi toka shuleni kwa likizo ya dharura

Hii miezi minne ratiba za mshahara zimebadilika. 24, 25, 25 na hii Machi 25 ndio kasungura katatoka.
Tulishazoea 21, 22 na ikichelewa sana 23.

Na mbele mbele inawezekana ikawa tarehe 40, inawezekana hela ikawa ni ngumu hadi hazina
 
Serikali inabidi waliangalie hili jambo kama wanahusika wao.
Kama ni watendaji wao basi napo walichunguze,
Maana nikweli tulizoea 21 to 23! Kwahiyo watu wakawa wanafanya matumizi kwa kufuata hizo tarehe.

Ila mimi ninachoona ndani ya serikari sasa hivi kuna shida za chini chini za kutaka kuwa fitinisha.
 
Back
Top Bottom