Tetesi: Mshahara wa Machi vipi? Watoto wanahitajika kurudi toka shuleni kwa likizo ya dharura

Alieleta NMB Mobile Safi sana. Otherwise wangekua wananiona kwenye ATM zao kila baada ya dakika 30.
Hahahaaa. Sasa kiasi kilichobakia huko si utakimaliza kama ada ya makato kwa kuangalia kila dakika?
 
Alieleta NMB Mobile Safi sana. Otherwise wangekua wananiona kwenye ATM zao kila baada ya dakika 30.
Mi huwa ninayo NMB Mobile ila ni mgumu sana kuingia humo hasa nikiwaza makato yao.
 
Back
Top Bottom