GE2025 Mshahara wa Mbunge wa darasa la 7 ni mara tatu ya mshahara wa mwenye PhD, maamuzi ni yako!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Amkeni watanzania, anaewaambia achana na siasa anataka uendelee kuwa na maisha ya chini, unaweza kutafakari tu kwa akili ya kawaida kuwa mbunge hamna kigezo chochote kigumu zaidi kujua kusoma na kuandika na uwe mtanzania halali lakini ukiupata ubunge mshahara wako si chini ya milion 18 kwa mwezi ukichanganya na marupurupu yote.

Alafu msomi wa PhD mshahara wake wote jumlisha na malupulupu yote si zaidi ya milion 6, na huyo ni msoni kasoma hadi mvi zimemkaa na anaelekea kuzeeka hapo kisha astafu.

Hawawezi kuyaweka hadharani hayamambo ndio maana utaskia wabunge wanasema mshahara wa ni siri ni kwasababu wanajua siku mkajua mtaamka na kuanza kufuatilia siasa.
 
Rudi shule hujui hesabu ulitakiwa useme ivi mshahara wa PhD holder in 1 ya 3 ya mshahara wa Mbunge standard7 (ambaye kazi yake ni kulala bungeni na kupiga makofi) au mshahara wa mbunge standard seven ni mara 3 ya PhD holder
 
Amkeni watanzania, anaewaambia achana na siasa anataka uendelee kuwa na maisha ya chini, unaweza kutafakari tu kwa akili ya kawaida kuwa mbunge hamna kigezo chochote kigumu zaidi kujua kusoma na kuandika na uwe mtanzania halali lakini ukiupata ubunge mshahara wako si chini ya milion 18 kwa mwezi ukichanganya na marupurupu yote.
We unaambiwa achana na siasa ila kulipia kodi, tozo ni wajibu wako, siasa ndio inaamua tozo, kodi iwe kiasi gani kwa kutunga sheria za hovyo, kuuliza zimetumikaje? unaambiwa mchochezi, hapana siasa ni maisha yako, pole pole shusha pindi tunafatilia. Binafsi, nitaacha kufuatilia siasa wakifanya uchumi wa Bongo, uwe kama south africa au zaidi inawezekana kabisa, ni basi tu sio kipaumbele.
 
Kwenye jimbo lako mbunge ni 1 tu, kazi ya ubunge haina uhakika baada ya miaka 5, kulogana sana, hujuma nyingi, kuupata huo ubunge unaweza kuta umetumia mshahara wa miaka 2 hadi 3, mean while wasomi wanahitajika sana kwenye sekta nyingi. Ukishatoboa miaka yakusoma your future is exciting
 
Sio kwa wasomi wote wengine hawatoboi ila ukishakuwa mbunge kutoboa ushindwe wewe tu. Msomi hata wa kadigirii tu anaweza kuleta impact kubwa kwa umma akitumika, kuliko wabunge wengi wanaolipwa sana kwa kupiga makofi tu, tatizo wewe unaangalia maslahi binafsi
 
Shida ni kwamba hata ufanyeje, wote hatuwezi kuwa wabunge. Wote hatuwezi kuwa wanasiasa maana vyeo havitoshi.

Naweza kusema ambacho inapaswa kufanyika maana ndicho kinachofanyika kwa nchi za wenzetu huko (my. Scandinavian countries). Ila nataka na wewe uumize kichwa useme nini kinatakiwa kufanyika kama wote hatuwezi kuwa wabunge, mawaziri, ma RC, RAS, DED....
 
Sio kwa wasomi wote wengine hawatoboi ila ukishakuwa mbunge kutoboa ushindwe wewe tu. Msomi hata wa kadigirii tu anaweza kulete impact kubwa kwa umma akitumika, kuliko wabunge wengi wanaolipwa sana kwa kupiga makofi tu, tatizo wewe unaangalia maslahi binafsi
Hakuna guarantee ya Msomi kutoboa labda akae kwenye nyadhifa ya kisiasa. Wapo wachache wanaotoboa hasa hasa kwenye Tech.
Msomi bongo kutoboa ni akae position fulani yenye tobo la upigaji
 
Wasomi wa hii nchi hawajitambui kabisa walitakiwa vyama vya wafanyakazi vimejaa mapandikizi
 
Hakuna guarantee ya Msomi kutoboa labda akae kwenye nyadhifa ya kisiasa. Wapo wachache wanaotoboa hasa hasa kwenye Tech.
Msomi bongo kutoboa ni akae position fulani yenye tobo la upigaji
Msomi na mbunge darasa la saba wote wakilipwa laki 700 kwa mwezi, msomi ana nafasi kubwa kutoboa kuliko darasa la saba, shida iliyopo kwenye siasa na watunga sera, darasa la saba analipwa 18m wakati msomi anaondoka na laki 5 tu.
 
Sio kwa wasomi wote wengine hawatoboi ila ukishakuwa mbunge kutoboa ushindwe wewe tu. Msomi hata wa kadigirii tu anaweza kuleta impact kubwa kwa umma akitumika, kuliko wabunge wengi wanaolipwa sana kwa kupiga makofi tu, tatizo wewe unaangalia maslahi binafsi

Ni maslahi binafdi kama tukichukulia Ubunge ni ajira.
 
Amkeni watanzania, anaewaambia achana na siasa anataka uendelee kuwa na maisha ya chini, unaweza kutafakari tu kwa akili ya kawaida kuwa mbunge hamna kigezo chochote kigumu zaidi kujua kusoma na kuandika na uwe mtanzania halali lakini ukiupata ubunge mshahara wako si chini ya milion 18 kwa mwezi ukichanganya na marupurupu yote.

Alafu msomi wa PhD mshahara wake wote jumlisha na malupulupu yote si zaidi ya milion 6, na huyo ni msoni kasoma hadi mvi zimemkaa na anaelekea kuzeeka hapo kisha astafu.

Hawawezi kuyaweka hadharani hayamambo ndio maana utaskia wabunge wanasema mshahara wa ni siri ni kwasababu wanajua siku mkajua mtaamka na kuanza kufuatilia siasa.
Umeandika nini?
 
angalau huyo wa darasa la saba lakini mbunge, Pia anaweza zidiwa na kijana wa darasa la saba anaefanya kazi ya uchinga au winga kariakoo. Acheni nongwa kila mtu apambane na hali yake
 
Ameandika "Mshahara wa msomi wa PhD ni mara 3 ya mshahara wa mbunge wa darasa la 7, maamuzi ni yako!"

Kuja kusoma habari kinyume.

Innumerate imbecile.
Labda aliandika uzi akiwa anagida ulabu.
 
Sasa kwa wapiga kura kama hawa rais akisema atawaletea matrekta milioni kumi utashangaa?
Huwezi kushangaa.

Rais anajua ana deal na watu ambao communication skills zao na uwezo wao wa kuchambua mambo ni below standard.
 
Back
Top Bottom