Amkeni watanzania, anaewaambia achana na siasa anataka uendelee kuwa na maisha ya chini, unaweza kutafakari tu kwa akili ya kawaida kuwa mbunge hamna kigezo chochote kigumu zaidi kujua kusoma na kuandika na uwe mtanzania halali lakini ukiupata ubunge mshahara wako si chini ya milion 18 kwa mwezi ukichanganya na marupurupu yote.
Alafu msomi wa PhD mshahara wake wote jumlisha na malupulupu yote si zaidi ya milion 6, na huyo ni msoni kasoma hadi mvi zimemkaa na anaelekea kuzeeka hapo kisha astafu.
Hawawezi kuyaweka hadharani hayamambo ndio maana utaskia wabunge wanasema mshahara wa ni siri ni kwasababu wanajua siku mkajua mtaamka na kuanza kufuatilia siasa.