tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Rudi shule hujui hesabu ulitakiwa useme ivi mshahara wa PhD holder in 1 ya 3 ya mshahara wa Mbunge standard7 (ambaye kazi yake ni kulala bungeni na kupiga makofi) au mshahara wa mbunge standard seven ni mara 3 ya PhD holderAmkeni watanzania, anaewaambia achana na siasa anataka uendelee kuwa na maisha ya chini, unaweza kutafakari tu kwa akili ya kawaida kuwa mbunge hamna kigezo chochote kigumu zaidi kujua kusoma na kuandika na uwe mtanzania halali lakini ukiupata ubunge mshahara wako si chini ya milion 18 kwa mwezi ukichanganya na marupurupu yote.
Alafu msomi wa PhD mshahara wake wote jumlisha na malupulupu yote si zaidi ya milion 6, na huyo ni msoni kasoma hadi mvi zimemkaa na anaelekea kuzeeka hapo kisha astafu.
Hawawezi kuyaweka hadharani hayamambo ndio maana utaskia wabunge wanasema mshahara wa ni siri ni kwasababu wanajua siku mkajua mtaamka na kuanza kufuatilia siasa.
We unaambiwa achana na siasa ila kulipia kodi, tozo ni wajibu wako, siasa ndio inaamua tozo, kodi iwe kiasi gani kwa kutunga sheria za hovyo, kuuliza zimetumikaje? unaambiwa mchochezi, hapana siasa ni maisha yako, pole pole shusha pindi tunafatilia. Binafsi, nitaacha kufuatilia siasa wakifanya uchumi wa Bongo, uwe kama south africa au zaidi inawezekana kabisa, ni basi tu sio kipaumbele.Amkeni watanzania, anaewaambia achana na siasa anataka uendelee kuwa na maisha ya chini, unaweza kutafakari tu kwa akili ya kawaida kuwa mbunge hamna kigezo chochote kigumu zaidi kujua kusoma na kuandika na uwe mtanzania halali lakini ukiupata ubunge mshahara wako si chini ya milion 18 kwa mwezi ukichanganya na marupurupu yote.
Hata mm nistuka sana baada ya kukisoma kichwa cha habari. Nikataka kujua ni msomi wa kada gani huyo?kichwa habari mbona kimekaa zig zag inversely proportional au mi ndio sijasoma vizuri??
Sio kwa wasomi wote wengine hawatoboi ila ukishakuwa mbunge kutoboa ushindwe wewe tu. Msomi hata wa kadigirii tu anaweza kuleta impact kubwa kwa umma akitumika, kuliko wabunge wengi wanaolipwa sana kwa kupiga makofi tu, tatizo wewe unaangalia maslahi binafsiKwenye jimbo lako mbunge ni 1 tu, kazi ya ubunge haina uhakika baada ya miaka 5, kulogana sana, hujuma nyingi, kuupata huo ubunge unaweza kuta umetumia mshahara wa miaka 2 hadi 3, mean while wasomi wanahitajika sana kwenye sekta nyingi. Ukishatoboa miaka yakusoma your future is exciting
Hakuna guarantee ya Msomi kutoboa labda akae kwenye nyadhifa ya kisiasa. Wapo wachache wanaotoboa hasa hasa kwenye Tech.Sio kwa wasomi wote wengine hawatoboi ila ukishakuwa mbunge kutoboa ushindwe wewe tu. Msomi hata wa kadigirii tu anaweza kulete impact kubwa kwa umma akitumika, kuliko wabunge wengi wanaolipwa sana kwa kupiga makofi tu, tatizo wewe unaangalia maslahi binafsi
Msomi na mbunge darasa la saba wote wakilipwa laki 700 kwa mwezi, msomi ana nafasi kubwa kutoboa kuliko darasa la saba, shida iliyopo kwenye siasa na watunga sera, darasa la saba analipwa 18m wakati msomi anaondoka na laki 5 tu.Hakuna guarantee ya Msomi kutoboa labda akae kwenye nyadhifa ya kisiasa. Wapo wachache wanaotoboa hasa hasa kwenye Tech.
Msomi bongo kutoboa ni akae position fulani yenye tobo la upigaji
Sio kwa wasomi wote wengine hawatoboi ila ukishakuwa mbunge kutoboa ushindwe wewe tu. Msomi hata wa kadigirii tu anaweza kuleta impact kubwa kwa umma akitumika, kuliko wabunge wengi wanaolipwa sana kwa kupiga makofi tu, tatizo wewe unaangalia maslahi binafsi
Umeandika nini?Amkeni watanzania, anaewaambia achana na siasa anataka uendelee kuwa na maisha ya chini, unaweza kutafakari tu kwa akili ya kawaida kuwa mbunge hamna kigezo chochote kigumu zaidi kujua kusoma na kuandika na uwe mtanzania halali lakini ukiupata ubunge mshahara wako si chini ya milion 18 kwa mwezi ukichanganya na marupurupu yote.
Alafu msomi wa PhD mshahara wake wote jumlisha na malupulupu yote si zaidi ya milion 6, na huyo ni msoni kasoma hadi mvi zimemkaa na anaelekea kuzeeka hapo kisha astafu.
Hawawezi kuyaweka hadharani hayamambo ndio maana utaskia wabunge wanasema mshahara wa ni siri ni kwasababu wanajua siku mkajua mtaamka na kuanza kufuatilia siasa.
Ameandika "Mshahara wa msomi wa PhD ni mara 3 ya mshahara wa mbunge wa darasa la 7, maamuzi ni yako!"Kichwa cha habari ni tofauti na habari yenyewe.
Labda aliandika uzi akiwa anagida ulabu.Ameandika "Mshahara wa msomi wa PhD ni mara 3 ya mshahara wa mbunge wa darasa la 7, maamuzi ni yako!"
Kuja kusoma habari kinyume.
Innumerate imbecile.
Sasa kwa wapiga kura kama hawa rais akisema atawaletea matrekta milioni kumi utashangaa?Labda aliandika uzi akiwa anagida ulabu.
Huwezi kushangaa.Sasa kwa wapiga kura kama hawa rais akisema atawaletea matrekta milioni kumi utashangaa?