Mshahara wa miradi ya RUWASA

Mshahara wa miradi ya RUWASA

Hakuna hela njaa tupu kuna rafiki yangu alipangiwa morogoro wali sign mkataba miezi mitatu analia njaa tu bora angebaki dukani kwake alipokuwa amejiajiri.
 
Hakuna hela njaa tupu kuna rafiki yangu alipangiwa morogoro wali sign mkataba miezi mitatu analia njaa tu bora angebaki dukani kwake alipokuwa amejiajiri.
Duuuuh walitutia tamaa bure, bora nilivyokosa.
 
Wakuu msaada nawez kuitwa written interview ruwasa katik kipengele cha mechanical technician wapii nipitie nipite apo written
 
Wakuu msaada nawez kuitwa written interview ruwasa katik kipengele cha mechanical technician wapii nipitie nipite apo written
Type of pipes
International Standard of water
Type of pumps na mechanisim zake
Unishukuru kdg kahela Cha bia
 
Wakuu yoyote kujua kuhsu written interview ya mechanical technician msaada plz
 
Wakuu hiv kwa sasa kwa wanaopat la ajira za mikataba kwenye hizi chombo za ruwasa huwa kwa kukadiria wanapokea bei gani
 
Back
Top Bottom