Mshahara wa miradi ya RUWASA

Mzee wahandisi tuko kitaa mda tu, so tunaombea fursa kama hizo zijitokeze, tutaelewana mbele kwa mbele huko
 
Hili Jina lako nishawahi lisikia Sana mzee baba kwa Madereva Noah wa IKUNGI nilikuwa najiulizaga ndiyo wewe!
 
Anhaa, kwahiyo ruwasa wenyewe hawajapiga simu bado?
Na jumuiya zao zinakuaje?
Jumuiya zao zinapewa miradi wanaajili watu kwa mkataba kama tulizoomba,ukipata zile kazi unakua umeajiliwa na jumuiya sio ruwasa,ruwasa ni wakala wanasimamia jumuiya
 
Jumuiya zao zinapewa miradi wanaajili watu kwa mkataba kama tulizoomba,ukipata zile kazi unakua umeajiliwa na jumuiya sio ruwasa,ruwasa ni wakala wanasimamia jumuiya
Anhaa kwahiyo jumuiya zao hazina ishu, ila lile tangazo walilotoa mwez uliopita nahisi ni Ruwasa wenyewe.
 
hivi hadi maafisa maendeleo ya jamii wanaajiriwa RUWASA ? duh....fursa zikifunguka watu watapata kazi.nimeona tangazo lao wanakiri uhaba wa wafanyakazi na hii ni taasisi moja tu nchini.
Mimi nimeomba as afisa maendeleo ya jamii nataka subili tuone je tukipewa chance je ni kazi gani kubwa tunaenda fanya maana tupo tu mtaaani kwa sasa
 
Mkuu kwan na ww uliomba zile kazi za kujitolea?

Naamini soon wataita watu, tuwe na subra tu, bora mtu upate ujuzi kuliko kukaa bure mbeleni Mungu atafanya wepesi
Sahihi ndugu zangu mtaaani kugumu sana mpaka sio poa yan... tusubli tuone ndugu zangu
 
Ikiwa hawakutupigia simu, itabidi tuwapigie wao 😂😂 tuwaulize wakulungwa vp mbona mnatupa tamaa alaf kimya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…