Mshahara wa miradi ya RUWASA

Mshahara wa miradi ya RUWASA

Mzee wahandisi tuko kitaa mda tu, so tunaombea fursa kama hizo zijitokeze, tutaelewana mbele kwa mbele huko
 
Me nipo singida na nimemaliza Chuo Cha maji mwaka juzi tu HYM hata Mimi nimeomba hizo kazi mikoa ya singida,simiyu na manyara..hata hivyo Kuna mradi wa maji nilipewa na bodi ta Kijiji nisimamie ila umenishinda asee changamoto Ni nyingi Sana watu wa vijijini sio wastaraabu wanakata mabomba makusudi Yale yaliyo kwenye korongo...af kingine huwa mradi ulijengwa toka 2015 kwa hivyo ufisadi ulikuwa mkubwa walikuwa wanakula hela za mafuta ya kwenye mashine hawajazi Tanki..nikaachana na huo mradi nasubiria na Mimi soon nimeambiwa kwenye Mwezi ujao mwanzoni af nasikia utaratibu unaweza kuwa mzuri ukashangaa miezi sita haifiki miezi miwili tu unapewa mkataba
Hili Jina lako nishawahi lisikia Sana mzee baba kwa Madereva Noah wa IKUNGI nilikuwa najiulizaga ndiyo wewe!
 
Anhaa, kwahiyo ruwasa wenyewe hawajapiga simu bado?
Na jumuiya zao zinakuaje?
Jumuiya zao zinapewa miradi wanaajili watu kwa mkataba kama tulizoomba,ukipata zile kazi unakua umeajiliwa na jumuiya sio ruwasa,ruwasa ni wakala wanasimamia jumuiya
 
Jumuiya zao zinapewa miradi wanaajili watu kwa mkataba kama tulizoomba,ukipata zile kazi unakua umeajiliwa na jumuiya sio ruwasa,ruwasa ni wakala wanasimamia jumuiya
Anhaa kwahiyo jumuiya zao hazina ishu, ila lile tangazo walilotoa mwez uliopita nahisi ni Ruwasa wenyewe.
 
hivi hadi maafisa maendeleo ya jamii wanaajiriwa RUWASA ? duh....fursa zikifunguka watu watapata kazi.nimeona tangazo lao wanakiri uhaba wa wafanyakazi na hii ni taasisi moja tu nchini.
Mimi nimeomba as afisa maendeleo ya jamii nataka subili tuone je tukipewa chance je ni kazi gani kubwa tunaenda fanya maana tupo tu mtaaani kwa sasa
 
Ikiwa hawakutupigia simu, itabidi tuwapigie wao 😂😂 tuwaulize wakulungwa vp mbona mnatupa tamaa alaf kimya?
 
Back
Top Bottom