Mshahara wa miradi ya RUWASA

Mshahara wa miradi ya RUWASA

Acha kabisa mkuu ngoja ngoja inaumiza matumbo balaa...sijui Ila tuwape mda kidogo mwezi wa Saba sio mbali
Mkuu lkn bado trh yetu ya kusubir hazijafika wala within a time 11-17 june, anyway tuvute mpk mwisho wa mwez huu ikiwa wamepiga kimya tujue kuwa hamna liwalo, coz ikifika hadi trh 26/06 itakuwa miezi mitatu tokea deadline, mchakato gani unachukua miezi mitatu?
 
Mkuu mwez wa saba ..
Hahahah,
Nini hiko,sijawahi kuona mchakato kama huo mkuu.
Au wanafanya na vetting.
Hv kwan bunge la bajeti, limeshamaliza kusomwa?
Wazir wa maji alisema angeomba kibali kwa utumishi ili wahitimu waingie serikalini hapo ilikua kwenye mahafali ya 2020...Sasa sijui kwanini hata Hili tu la kujitolea RUWASA wameshindwa mpk Sasa hivi kupitia maombi yetu au shida Nini sijui
 
Shida maslahi
 
Mkuu lkn bado trh yetu ya kusubir hazijafika wala within a time 11-17 june, anyway tuvute mpk mwisho wa mwez huu ikiwa wamepiga kimya tujue kuwa hamna liwalo, coz ikifika hadi trh 26/06 itakuwa miezi mitatu tokea deadline, mchakato gani unachukua miezi mitatu?
Dah POA mkuu Ila wameshanikata stimu asee Ni heri wangetoa hata majina tu tuliopata nafasi Ili mtu ujue unajipangaje yaani means wakitoa mwezi before hujareport inakua vzr unatafuta pesa ya kujikimu na ya kusafirisha vitu vyako..kuliko uje upewe week mbili halafu Kumbuka hakuna mishahara
 
Imagine sasa, mfano mtu unaishi mkoa wa mtwara alaf guidance yao wanataka ujaze mikoa mitatu ukajaza mtwara, simiyu na mwanza ukapangiwa mwanza kumbuka ww unaishi mtwara hapo kuna kujipanga kiuchumi kwa mda hii imekaaje? Maana wengi wetu choice ya kwanza tumejaza mikoa tunayoishi kwa kuwa tunafikir mtu unaweza kujitutumua huku ukivuta mda,, kinyume cha hvyo hii imekaaje mkuu?
 
Yaan ukapangiwa mkoa mwengine tofauti na unaoishi na kule huna jamaa, najizungumzia binafs na wale walio mfano wa mimi
 
Sijui tumuulize Nani wa Ruwasa HQ atupe jibu kAMILI.MAANA MAMENEJA WA HUKU WILAYANI NAONA KIMYA SASA NAJIULIZA mkurugenzi mkuu ndo atatoa majina kwa pamoja au kila wilaya itajitegemea
Ata hao mameja wa wilaya wa ruwasa wakiulizwa pia sio mbaya
 
unajua ile kitu imetupa tamaa watu wengi, wengi wetu tupo tupo tu, maana tushagonga interview za utumishi za kutosha alaf bwaah nafas moja tu, so hii ndio imetupa matumaini alaf kimyaa aisee
 
Me nilipiga ya utumish hapo DUCE nikapata 47 siku itwa oral aisee inaniuma mpk leo..maana walioenda oral baadae wakawekea kanzdata haijachukua mwez wakapewa ajira
 
Hahaha mkuu pengine tulikuwa tunapishana DUCE hapo kwa kuwa hatujuani tu
 
Leo Ni tarehe 10/6

Bongo nyoso wakuu unaweza ukafariki hujaonjaga cake ya taifa japo hata kiduchu tu
Alaf mtu anakwaambia jiajiri, utajiajir vp katika fani yako ikiwa huku umemaliza shule huna ata mia, na ubobezi katika fani yako bado huna? Mtu anapoongea kauli hii afikirie mara mbili mbili
 
Back
Top Bottom