Moment of silent
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 855
- 1,483
Hv kwan bunge la bajeti, limeshamaliza kusomwa?Nimechoka kusubiri sijui serikali wanafanya kazi slow Sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hv kwan bunge la bajeti, limeshamaliza kusomwa?Nimechoka kusubiri sijui serikali wanafanya kazi slow Sana...
Mkuu lkn bado trh yetu ya kusubir hazijafika wala within a time 11-17 june, anyway tuvute mpk mwisho wa mwez huu ikiwa wamepiga kimya tujue kuwa hamna liwalo, coz ikifika hadi trh 26/06 itakuwa miezi mitatu tokea deadline, mchakato gani unachukua miezi mitatu?Acha kabisa mkuu ngoja ngoja inaumiza matumbo balaa...sijui Ila tuwape mda kidogo mwezi wa Saba sio mbali
Mkuu mwez wa saba ..
Hahahah,
Nini hiko,sijawahi kuona mchakato kama huo mkuu.
Au wanafanya na vetting.
Wazir wa maji alisema angeomba kibali kwa utumishi ili wahitimu waingie serikalini hapo ilikua kwenye mahafali ya 2020...Sasa sijui kwanini hata Hili tu la kujitolea RUWASA wameshindwa mpk Sasa hivi kupitia maombi yetu au shida Nini sijuiHv kwan bunge la bajeti, limeshamaliza kusomwa?
Shida maslahiWazir wa maji alisema angeomba kibali kwa utumishi ili wahitimu waingie serikalini hapo ilikua kwenye mahafali ya 2020...Sasa sijui kwanini hata Hili tu la kujitolea RUWASA wameshindwa mpk Sasa hivi kupitia maombi yetu au shida Nini sijui
Dah POA mkuu Ila wameshanikata stimu asee Ni heri wangetoa hata majina tu tuliopata nafasi Ili mtu ujue unajipangaje yaani means wakitoa mwezi before hujareport inakua vzr unatafuta pesa ya kujikimu na ya kusafirisha vitu vyako..kuliko uje upewe week mbili halafu Kumbuka hakuna mishaharaMkuu lkn bado trh yetu ya kusubir hazijafika wala within a time 11-17 june, anyway tuvute mpk mwisho wa mwez huu ikiwa wamepiga kimya tujue kuwa hamna liwalo, coz ikifika hadi trh 26/06 itakuwa miezi mitatu tokea deadline, mchakato gani unachukua miezi mitatu?
Imagine sasa, mfano mtu unaishi mkoa wa mtwara alaf guidance yao wanataka ujaze mikoa mitatu ukajaza mtwara, simiyu na mwanza ukapangiwa mwanza kumbuka ww unaishi mtwara hapo kuna kujipanga kiuchumi kwa mda hii imekaaje? Maana wengi wetu choice ya kwanza tumejaza mikoa tunayoishi kwa kuwa tunafikir mtu unaweza kujitutumua huku ukivuta mda,, kinyume cha hvyo hii imekaaje mkuu?Dah POA mkuu Ila wameshanikata stimu asee Ni heri wangetoa hata majina tu tuliopata nafasi Ili mtu ujue unajipangaje yaani means wakitoa mwezi before hujareport inakua vzr unatafuta pesa ya kujikimu na ya kusafirisha vitu vyako..kuliko uje upewe week mbili halafu Kumbuka hakuna mishahara
Yaan ukapangiwa mkoa mwengine tofauti na unaoishi na kule huna jamaa, najizungumzia binafs na wale walio mfano wa mimiImagine sasa, mfano mtu unaishi mkoa wa mtwara alaf guidance yao wanataka ujaze mikoa mitatu ukajaza mtwara, simiyu na mwanza ukapangiwa mwanza kumbuka ww unaishi mtwara hapo kuna kujipanga kiuchumi kwa mda hii imekaaje? Maana wengi wetu choice ya kwanza tumejaza mikoa tunayoishi kwa kuwa tunafikir mtu unaweza kujitutumua huku ukivuta mda,, kinyume cha hvyo hii imekaaje mkuu?
Ndo maana Mimi niliamua tu kujaza ile ya karibu coz naishi sgd nikajaza SGD, Manyara na simiyuYaan ukapangiwa mkoa mwengine tofauti na unaoishi na kule huna jamaa, najizungumzia binafs na wale walio mfano wa mimi
Hapo kwa ww afadhal mkuuNdo maana Mimi niliamua tu kujaza ile ya karibu coz naishi sgd nikajaza SGD, Manyara na simiyu
Sijui tumuulize Nani wa Ruwasa HQ atupe jibu kAMILI.MAANA MAMENEJA WA HUKU WILAYANI NAONA KIMYA SASA NAJIULIZA mkurugenzi mkuu ndo atatoa majina kwa pamoja au kila wilaya itajitegemeaHapo kwa ww afadhal mkuu
Ata hao mameja wa wilaya wa ruwasa wakiulizwa pia sio mbayaSijui tumuulize Nani wa Ruwasa HQ atupe jibu kAMILI.MAANA MAMENEJA WA HUKU WILAYANI NAONA KIMYA SASA NAJIULIZA mkurugenzi mkuu ndo atatoa majina kwa pamoja au kila wilaya itajitegemea
Nilishawai kuuliza kwa mkoa tanga wakaniambia wao wanapokea na kuzi address kwa anuani ya mkurugenz mkuu dodoma ..Ata hao mameja wa wilaya wa ruwasa wakiulizwa pia sio mbaya
Me nilipiga ya utumish hapo DUCE nikapata 47 siku itwa oral aisee inaniuma mpk leo..maana walioenda oral baadae wakawekea kanzdata haijachukua mwez wakapewa ajiraunajua ile kitu imetupa tamaa watu wengi, wengi wetu tupo tupo tu, maana tushagonga interview za utumishi za kutosha alaf bwaah nafas moja tu, so hii ndio imetupa matumaini alaf kimyaa aisee
Hahaha mkuu pengine tulikuwa tunapishana DUCE hapo kwa kuwa hatujuani tuMe nilipiga ya utumish hapo DUCE nikapata 47 siku itwa oral aisee inaniuma mpk leo..maana walioenda oral baadae wakawekea kanzdata haijachukua mwez wakapewa ajira
Alaf mtu anakwaambia jiajiri, utajiajir vp katika fani yako ikiwa huku umemaliza shule huna ata mia, na ubobezi katika fani yako bado huna? Mtu anapoongea kauli hii afikirie mara mbili mbiliLeo Ni tarehe 10/6
Bongo nyoso wakuu unaweza ukafariki hujaonjaga cake ya taifa japo hata kiduchu tu