Moment of silent
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 855
- 1,483
Website ya Ruwasa leo iko bize aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann mkuu inakua bussy..Website ya Ruwasa leo iko bize aisee
Itakuwa wana upload mambo flaniKwann mkuu inakua bussy..
Hivi bado hawajaita watu wa kujitolea?Itakuwa wana upload mambo flani
Kwaio leo inawezekana ndo mambo yanaekwaItakuwa wana upload mambo flani
Tunavyojua kujipa matumaini [emoji16][emoji16][emoji16]...sidhani labda bajeti ikisomwa leo halafu next weekItakuwa wana upload mambo flani
Sasa sisi bajeti ya kazi gani, hatuhusiani na bajeti ni program ya kujitolea haina malipo wala mshahara, anaetaka atakwenda asietaka hatokwenda, sasa kwanini inawawia ngumu kwa wale waliojikubalisha kujitolea kuchelewesha hadi baadhi ya watu wameshakata tamaaTunavyojua kujipa matumaini [emoji16][emoji16][emoji16]...sidhani labda bajeti ikisomwa leo halafu next week
Bado kimyaWakuu vp kuna mwenye lolote..
Sio suala la bajeti mkuu.Vjana kaeni mkao wa kula bajeti,ilishasomwa tayr
Wanatuvuruga Sasa mpk morali imeisha...hata Kama ndo tukajitolee ila sio Tena kwa uzalendo
Sio suala la bajeti mkuu.
Nadhani kuna mahala t hakupo sawa.