Mshahara wa miradi ya RUWASA

Mshahara wa miradi ya RUWASA

Kama umepata ajira serikalini we nenda mishahara ni siri ya taasisi haitwakiwi kusemwa hadharani. We serikalii nenda uzuri utakopesheka utafanya issue zako....usiangalie mshahara sana
 
Tunavyojua kujipa matumaini [emoji16][emoji16][emoji16]...sidhani labda bajeti ikisomwa leo halafu next week
Sasa sisi bajeti ya kazi gani, hatuhusiani na bajeti ni program ya kujitolea haina malipo wala mshahara, anaetaka atakwenda asietaka hatokwenda, sasa kwanini inawawia ngumu kwa wale waliojikubalisha kujitolea kuchelewesha hadi baadhi ya watu wameshakata tamaa
 
Updates zipoje huko RUWASA kwa wenye kufatilia mambo huenda mnajua chochote, tuhabarishane wajamen
 
Majamaa zangu nao wanaofanya kazi kwenye hizi CBWSO's wanalalamika wanapewa posho kiduchu mno.tuko kwenye what's up group moja
 
Hahahahahah jumaa aweso vijana wamekata tamaa unasemaje waendelee kula mtori nyama watazikuta chini au waendelee kujifukiza
 
Back
Top Bottom