Kidedya
Member
- Feb 24, 2020
- 56
- 37
Kila mtu analia kilio chake aiseeMajamaa zangu nao wanaofanya kazi kwenye hizi CBWSO's wanalalamika wanapewa posho kiduchu mno.tuko kwenye what's up group moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtu analia kilio chake aiseeMajamaa zangu nao wanaofanya kazi kwenye hizi CBWSO's wanalalamika wanapewa posho kiduchu mno.tuko kwenye what's up group moja
Tuishi hapa, hakuna namnaHahahahahah jumaa aweso vijana wamekata tamaa unasemaje waendelee kula mtori nyama watazikuta chini au waendelee kujifukiza
Me sijawahi kuwakubali ruwasa Ni Basi tu waziri anataka tukazipe nguvu hizi jumuiya ila Mimi Nina sifa za kwenda kwenye mabonde hata hivyo inatake zilizopita wote wamechukuliwaga na mabonde na Wengine airport za songwe kwenye metereology stationTuishi hapa, hakuna namna
[emoji817]Poleni Sana vijana msikate tamaa maisha ni mapambano penye Nia pana njia ..
Kwenye mabonde naskia huwa mambo ni safi sana huko.Me sijawahi kuwakubali ruwasa Ni Basi tu waziri anataka tukazipe nguvu hizi jumuiya ila Mimi Nina sifa za kwenda kwenye mabonde hata hivyo inatake zilizopita wote wamechukuliwaga na mabonde na Wengine airport za songwe kwenye metereology station
Huko shavu Kaka mkienda site per diem 40000 halafu kazi zenyewe hazina changamoto kubwaKwenye mabonde naskia huwa mambo ni safi sana huko.
Mkuu naona kabisa ulishawahi kuwa huko, kulikoni tena ukachomoka,,Huko shavu Kaka mkienda site per diem 40000 halafu kazi zenyewe hazina changamoto kubwa
Nilikuwa nimejitolea then Serikali ikawazuia watu kujitolea nikaondoka nilikuwa bonde la Kati so tukienda kwenye river gauge kuchukua data tulikuwa tunalipwa wote 40000, kuanzia ma staff mpk maderevaMkuu naona kabisa ulishawahi kuwa huko, kulikoni tena ukachomoka,,
Au ndo mkataba ulishaisha
Halafu bonde hakuna Cha mktaba kuisha coz Ni ajira kabisa katika utumishiMkuu naona kabisa ulishawahi kuwa huko, kulikoni tena ukachomoka,,
Au ndo mkataba ulishaisha
Wako chini ya RUWASA ama wanajitegemeaHalafu bonde hakuna Cha mktaba kuisha coz Ni ajira kabisa katika utumishi
Ulionjoy kwakweli, mimi fursa kama hizo zijawahi kuzioteaNilikuwa nimejitolea then Serikali ikawazuia watu kujitolea nikaondoka nilikuwa bonde la Kati so tukienda kwenye river gauge kuchukua data tulikuwa tunalipwa wote 40000, kuanzia ma staff mpk madereva
Wanajitegemea wako chini ya wizara wanajiendesha wenyewe kupitia bodi husika...Kuna mabonde Tisa nchini ziwa Victoria,kuna la Kati mikoa ya she, manyara,Dom,kuna la rufiji,pangani,wamiruvu,tanganyika etcWako chini ya RUWASA ama wanajitegemea
Mkuu si uliwahi kuniambia kuwa ruwasa hawana jumuiya?Me sijawahi kuwakubali ruwasa Ni Basi tu waziri anataka tukazipe nguvu hizi jumuiya ila Mimi Nina sifa za kwenda kwenye mabonde hata hivyo inatake zilizopita wote wamechukuliwaga na mabonde na Wengine airport za songwe kwenye metereology station
Ulimsikiliza hv punde katika kuzindua Mradi wa maji, mwanza?Hahahahahah jumaa aweso vijana wamekata tamaa unasemaje waendelee kula mtori nyama watazikuta chini au waendelee kujifukiza
Hizo ni jumuiya za Ruwasa sio ruwasa wenyeweMajamaa zangu nao wanaofanya kazi kwenye hizi CBWSO's wanalalamika wanapewa posho kiduchu mno.tuko kwenye what's up group moja
Ruwasa wenyewe wanajenga mradi Kisha wanaukabidhi kwa wananchi ambapo chombo kinachosimamia ndo jumuiya Sasa chini ya bodi ya maji na Sasa sisi ndo tutakwenda kuwa supervisor kwa nafasi Ni katibu wa jumuiyaMkuu si uliwahi kuniambia kuwa ruwasa hawana jumuiya?
Sijamsikiliza kwenye TBC ngoja niangalie hii video YouTube km alisema jamboUlimsikiliza hv punde katika kuzindua Mradi wa maji, mwanza?
Pengine mkuuWaziri kasema wametimua mainjinia Zaidi ya Mia na hivi karibuni watatoa mkeka mpya means wataajiri nguvu mpya na labda maslahi yataangaliwa kwa watendaji ambao wako chini ya ruwasa