Mshahara wa miradi ya RUWASA

Mshahara wa miradi ya RUWASA

Tuishi hapa, hakuna namna
Me sijawahi kuwakubali ruwasa Ni Basi tu waziri anataka tukazipe nguvu hizi jumuiya ila Mimi Nina sifa za kwenda kwenye mabonde hata hivyo inatake zilizopita wote wamechukuliwaga na mabonde na Wengine airport za songwe kwenye metereology station
 
Kwenye mabonde naskia huwa mambo ni safi sana huko.
 
Mkuu naona kabisa ulishawahi kuwa huko, kulikoni tena ukachomoka,,
Au ndo mkataba ulishaisha
Nilikuwa nimejitolea then Serikali ikawazuia watu kujitolea nikaondoka nilikuwa bonde la Kati so tukienda kwenye river gauge kuchukua data tulikuwa tunalipwa wote 40000, kuanzia ma staff mpk madereva
 
Nilikuwa nimejitolea then Serikali ikawazuia watu kujitolea nikaondoka nilikuwa bonde la Kati so tukienda kwenye river gauge kuchukua data tulikuwa tunalipwa wote 40000, kuanzia ma staff mpk madereva
Ulionjoy kwakweli, mimi fursa kama hizo zijawahi kuziotea
 
Wako chini ya RUWASA ama wanajitegemea
Wanajitegemea wako chini ya wizara wanajiendesha wenyewe kupitia bodi husika...Kuna mabonde Tisa nchini ziwa Victoria,kuna la Kati mikoa ya she, manyara,Dom,kuna la rufiji,pangani,wamiruvu,tanganyika etc

Wenyewe ndo wanaopanga mgawanyo wa maji kwenye taasisi nyingine km vile mamlaka au ruwasa
Pia ndo wanatoa vibali vya kutumia maji
 
Me sijawahi kuwakubali ruwasa Ni Basi tu waziri anataka tukazipe nguvu hizi jumuiya ila Mimi Nina sifa za kwenda kwenye mabonde hata hivyo inatake zilizopita wote wamechukuliwaga na mabonde na Wengine airport za songwe kwenye metereology station
Mkuu si uliwahi kuniambia kuwa ruwasa hawana jumuiya?
 
Mkuu si uliwahi kuniambia kuwa ruwasa hawana jumuiya?
Ruwasa wenyewe wanajenga mradi Kisha wanaukabidhi kwa wananchi ambapo chombo kinachosimamia ndo jumuiya Sasa chini ya bodi ya maji na Sasa sisi ndo tutakwenda kuwa supervisor kwa nafasi Ni katibu wa jumuiya
 
Waziri kasema wametimua mainjinia Zaidi ya Mia na hivi karibuni watatoa mkeka mpya means wataajiri nguvu mpya na labda maslahi yataangaliwa kwa watendaji ambao wako chini ya ruwasa
 
Tafuteni hizi design manual ambazo zinakuwa zikitumika kea miradi yote

Na hasa PDF ya kusoma Ni ile ya volume 4 ya maintanance and operation
Screenshot_20210614-145049.jpg
 
Back
Top Bottom