Mshahara wa Mwalimu (Madeni kama yote)

Inategemea na mkopo alifanyia nini kama ali invest na ROI iko vizuri mbona hata haina noma, kimbembe iwe mambo hayakwenda ulivyotegemea, lazima uwe na msongo wa mawazo yale mashati ya vitenge wanayoyapenda lazima yavaliwe yamegeuzwa nje ndani otherwise kuwe na posho nyingi huko kazini
 
Halafu no mwalimu mwenye miaka mingi kazini kwa mujibu wa hiyo scale.

Usikute amekaribia kustaafu maana mwalimu hadi aje afikie scale E amesota muda mrefu kazini.
Mwalimu wa shahada aliyedumu kazini miaka minne tu anadaka hicho kiasi!
Hivyo si kweli kwamba scale hiyo ni mwalimu anayekaribia kustaafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…