Mshahara wa Mwalimu (Madeni kama yote)

Mshahara wa Mwalimu (Madeni kama yote)

Halafu no mwalimu mwenye miaka mingi kazini kwa mujibu wa hiyo scale.

Usikute amekaribia kustaafu maana mwalimu hadi aje afikie scale E amesota muda mrefu kazini.
Inategemea na factors nyingine pia
 
Usikute amekaribia kustaafu maana mwalimu hadi aje afikie scale E amesota muda mrefu kazini.
Tarehe yake ya kustaafu ipo hapo 26/12/2044, bado ana miaka 20 ya utumishi. Huyo Ni kijana tu aliyezaliwa 26/12/1984 (now aged 39yrs)
 
Kwa makato hayo,ndiyo maana waalimu wanamaisha magumu na wamepigika na kutumika na ccm kama toilet papers.Na wanahaira sana.
 
kwawahindi tunakomaa na lakimbili kwa mwezi na degree za mzumbe, nabado usipofikia target panyango analima mshahara, mteja akikopa asilipe unalipa wewe,
 
Kuleta salary slip bila kutuonyesha amewekeza wapi ni wivu na husuda, ukute jamaa ni tajili kwa mikopo hiyohiyo !
 
Back
Top Bottom