Inategemea na factors nyingine piaHalafu no mwalimu mwenye miaka mingi kazini kwa mujibu wa hiyo scale.
Usikute amekaribia kustaafu maana mwalimu hadi aje afikie scale E amesota muda mrefu kazini.
π€£π€£π€£π€£Control C control V
Tarehe yake ya kustaafu ipo hapo 26/12/2044, bado ana miaka 20 ya utumishi. Huyo Ni kijana tu aliyezaliwa 26/12/1984 (now aged 39yrs)Usikute amekaribia kustaafu maana mwalimu hadi aje afikie scale E amesota muda mrefu kazini.
Ndo Maisha aliyewajalia kingi ndo huyohuyo kawajalia wengine kidogo hatupaswi kuwabeza Hawa watu
Laki tatu mbona nyingiLaki 3? Mbona anabaki na hela kidogo sana
E unaifikia baada ya miaka minne tuHalafu no mwalimu mwenye miaka mingi kazini kwa mujibu wa hiyo scale.
Usikute amekaribia kustaafu maana mwalimu hadi aje afikie scale E amesota muda mrefu kazini.
Ila mkiwa kule kwenye nyuzi za dada wa kazi kulipwa elf 70 mnasema ni ndogo ama vip?Laki tatu mbona nyingi
Wengine hiyo ndio basic salary
Mkuu ulipotea sana.Duuuh
Dada wa kazi analipwa elf 60Ila mkiwa kule kwenye nyuzi za dada wa kazi kulipwa elf 70 mnasema ni ndogo ama vip?
mbona 2044 haijafika, au?
Anatamani kustaafu tu hapo...πππUnakuta huyo mwalimu ana nyumba ,gari dogo na watoto watatu ila salary slip in viraka.
Mwaka wake wa mshahala wa mwishombona 2044 haijafika, au?