Kikubwa ukiweza kupunguza tamaa ya utajiri wa haraka/ maendeleo ya ulimbukeni na ukawa na malengo yasiyofuata mkumbo,,, utainjoy Sana. Wanaoutukana utumishi wa uma utawashangaa
Kikubwa ukiweza kupunguza tamaa ya utajiri wa haraka/ maendeleo ya ulimbukeni na ukawa na malengo yasiyofuata mkumbo,,, utainjoy Sana. Wanaoutukana utumishi wa uma utawashangaa
Mshahara ni mkubwa kabisa, sasa mwalimu alitaka alipwe milioni ndani, kumi na tano,kama engineer wa Vodacom?
Mwalimu ana mikopo mitano!
Ukijumlisha, mikopo yote jumla makato kwa mwezi ni 261549! , asingekopa angepata 598166 mwisho wa mwezi, sasa makelele ya nini?