Mshahara wa mwezi Desemba 2020 vipi?

Mshahara wa mwezi Desemba 2020 vipi?

Wajomba na maanti kwema!VIP kitu Cha salary kimeingia huko....
 
Wadau vipi ka salary ka mwezi huu wa pesa hazitoshi.

Wenzangu mmekaona? Tuambizane maana hapa nina buku tu la bodaboda kunipeleka kwa ATM.

Nikizikoswa ndo yatakuwa majanga zaidi.

Kwa walio na simbank tujuzani.

Nipo NBC.

Duuuh Mnafanya kazi sehemu gani? Mimi huku kwenye biashara yangu watu waliokopa mkaa wamenilipa hela yangu tar 15 ,ina maana washapewa mshahara wa Dec tangia tar 15.

East Africa Radio/TV wamepewa leo tar 20.
 
Mkuu adimu sana.
 
Wadau vipi ka salary ka mwezi huu wa pesa hazitoshi.

Wenzangu mmekaona? Tuambizane maana hapa nina buku tu la bodaboda kunipeleka kwa ATM.

Nikizikoswa ndo yatakuwa majanga zaidi.

Kwa walio na simbank tujuzani.

Nipo NBC.
Hapa ndipo wafuasi wa chama chakavu mnaponishangaza.
 
Back
Top Bottom