Mshahara wa mwezi Desemba 2020 vipi?

Mshahara wa mwezi Desemba 2020 vipi?

Wale wa CRDB tushaclick button...mzigo tayari,sikukuu njema..take care january is around the corner!
 
Kwani huezi kucheki salio kupitia Mobile? Au hela ikiingia kwenye account yako huwa hupati notification ya text?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hawa watumishi hawa,anashindwa nini kucheki salio kwanza?
 
Hii mishahara ni kupoteza mda! Mpaka mda huu kanaerekea kuisha bora wangechelewesha2.
 
Daradara[emoji777]

Daladala[emoji3581]
Kharidi analalamika , Gangana nae analazimisha.
Nimeingiza kadi yangu ya NBCmastercard ATM ya crdb nikaomba kutoa 500,000 /= ikakubari nikajua wamo!

Nashangaa naambiwa sina salio, wakati nilianza kupiga hesabu naanzia kwa mangi nipate supu ya mkia na castel lite mbili baridi ndo nifike home!!
Hizi huduma za mastercard zitakuja kuongeza ugonjwa maana hapa natoka hata ya daradara sina tena.
 
Mzigo Tayari...

Ushaisha...

Nimejaribu Salary Advance... NMB wananiambia nisubirie 24hrs kwakua hizi ni siku za kugawa mishahara..

Haya maisha haya..
 
Back
Top Bottom