Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,774
- 26,210
mm sekta yangu ni ya security bana, hvyo kazini tunasaidiana kwenye replacement
mm sekta yangu ni ya security bana, hvyo kazini tunasaidiana kwenye replacement
Kula maisha mkuumm sekta yangu ni ya security bana, hvyo kazini tunasaidiana kwenye replacement
mbona mzigo umeshatoka, leo nmeomba udhuru job, niko hapa bar nakula mtungi kupunguza machungu + stress
natumain mpk jion na ww watakukumbuka
Ukilipwa mshahara tarehe 24 hadi tarehe 24 mwezi umeisha unatakiwa ulipwe tena. Ukinilipa tarehe 30 umenichelewesha siku 6
Sent using Jamii Forums mobile app
uko sahihi mkuu, acha nitumie jasho langu kujipongeza
Basi hapo majiona maisha mmeyapatia!Wenzako kada ya ualimu tunakenua meno 32
Haaaa haaaa dah hongerambona mzigo umeshatoka, leo nmeomba udhuru job, niko hapa bar nakula mtungi kupunguza machungu + stress
Unatafuta attention wewe sio bure ngoja waje pmmbona mzigo umeshatoka, leo nmeomba udhuru job, niko hapa bar nakula mtungi kupunguza machungu + stress
Ni mfanyakazi au jiranimm mbona sijapata bado niko crdb bank au wameanza na nmb
Tunachakata upandaji wa madaraja
unajipa moyo au unazuga?mbona mzigo umeshatoka, leo nmeomba udhuru job, niko hapa bar nakula mtungi kupunguza machungu + stress
Duh tarehe 24 mbona mapema sana