kitokololoo
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 704
- 821
- Thread starter
- #41
Umesomekwa kwa nguvu ya 5/5Tunaweka malimbikizo yenu, mwezi jana tuliwawekea baadhi ya taasisi.
5/5
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesomekwa kwa nguvu ya 5/5Tunaweka malimbikizo yenu, mwezi jana tuliwawekea baadhi ya taasisi.
5/5
Una shida ya sh ngp tukuazime mkuu,Hari so nzuri hapa!muda wowote kuanzia sasa ntadhalilika![emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Sent using Jamii Forums mobile app
Una shida ya sh ngp tukuazime mkuu,
Hapana sifanyi kazi hukoKama Unafanya kazi Private Sector utaona karibu maana huko kulipana tarehe 5 ya mwezi unaofata ni jambo la kawaida tu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
ha ha hatarii sna ikifika weekend kachoka hatariii
Single mothers wakitanzania wanakuwaga na stress hasa wakiona walioolewa wanatoka Mlimani city na waume zao.
NMB wahuni, wanakuwekea leo SMS utapata wiki ijayo.Wadau Leo sijaenda job coz sina salary nilitegemea ijumaa kitu kingetema lkn wonderful enough ilikuwa kimya hata jumamosi yake .....
Leo nimekacha kwenda kazini mpaka nione message ya nmb
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila bila[emoji134][emoji22] dah! Kw tarehe za namna hii, hiyo inaweza kuwa hadi kesho[emoji134][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
NMB wahuni, wanakuwekea leo SMS utapata wiki ijayo.
Cheki account yako mkuu. TAYARI
Hahaha...Mkuu, matarehe kama haya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] yanayoangukia tarehe 22 jumamosi na 24 jumatatu...hahhahaha...huwa ni mtiti[emoji23][emoji134][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani njiwa wangu wwUkilipwa mshahara tarehe 24 hadi tarehe 24 mwezi umeisha unatakiwa ulipwe tena. Ukinilipa tarehe 30 umenichelewesha siku 6
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajui kua pesa zinatoka speed km zinaendeshwa na Schumacher aseeeeMjomba. Weekend kote huko?
Pesa siku hizi zimeota matairi