Mshahara wa mwezi Februari mbona umechelewa?

Mshahara wa mwezi Februari mbona umechelewa?

Hakuna mshahara mwezi huu.Hii inatokana na kutokuwepo kwa tarehe maalumu ya kulipa kila mwezi na tarehe yake. ANGALIZO watumishi endeleeni kukopa tuuuuu



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inamaana yule msomi wa Kenya kalishwa hewa au ameamua kutuchezea akili?

Nimemsikia Lumumba akiwa ikulu mbele ya kamera na mheshiwa sana akisema wafanyakazi wa Serikali wanalipwa tar 23.

Na hapo alikua anamnukuu mkubwa ikiwa ni sehem ya mafanikio ya kishindo cha awamu ya tano.
 
labda Kuna nyongeza bila shaka pengine Mzee baba huruma imemuingia maana miaka minne hii loh!
 
Hivi kuna mtu kakumbwa na tatizo kama langu? [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] account inasoma ziro.
 
Back
Top Bottom