Mshahara wa mwezi Februari mbona umechelewa?

Mshahara wa mwezi Februari mbona umechelewa?

Tuwe siriasi jamani hivi bado huja toka wengine tumekopa mpaka viwalo vya kutokea mjini
 
Acha kazi fanya biashara mahahara utowaza tena
Wanazengo habarini, poleni na majukumu ya Kitaifa.

Mshahara wa Januari na mwezi huu Februari mbona unachelewa na hata ukilipwa unalipwa kimafungu fungu tatizo nini?

Mpaka sasa hivi watu wanasikilizia tu lakini mambo ni magumu sana tatizo ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha...Mkuu, matarehe kama haya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] yanayoangukia tarehe 22 jumamosi na 24 jumatatu...hahhahaha...huwa ni mtiti[emoji23][emoji134][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hv huwa hawaoni kalenda hawa watu wakaandaa mishahara mapema?Jiwe na hazina yako mnasumbua watumishi kuja kutukopa wakati madeni ya nyuma hawajalipa, yani hapa nina ATM 6 ukitoka nishtueni tukalipane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabody hivi mishahara ya serikali itaingia lini maana mpaka jana ilikuwa bado mtujue wanaoelewa mzunguko wa mwezi huu
 
Back
Top Bottom