Tayari wapi mkuu?Makubwa wakati mshahara tayari na hakuna kitu
CrdbTayari wapi mkuu?
Oyaaaa😎Crdb
Mmmh!Crdb
Nikweli?Crdb
Mnataka kubishana? Unatumia bank gani boss?Mshahara bado haujatoka ila hakuna kitu kilichoongezeka.
NMB.Mnataka kubishana? Unatumia bank gani boss?
Nmb bado. Crdb sms kitamboNMB.
Lakini hakuna nyongeza nilipata taarifa toka kwenye source ya kuaminika tokea july 18
Kisandarusi tena [emoji23][emoji23][emoji23]Duh, mimi nikawa nimeandaa kasandarusi kangu kumbe ndo hivyo tena?
Mkuu, kuwa serious kidogo.Nmb bado. Crdb sms kitambo
Tayari nmb Nothing newMshahara bado haujatoka ila hakuna kitu kilichoongezeka.