Tetesi: Mshahara wa mwezi huu July 2023, tutarajie makubwa!

Tetesi: Mshahara wa mwezi huu July 2023, tutarajie makubwa!

Sidhani kama tutaweza kufika huko,
Unamngoja nani akueleze hayo ? Huo ndio uhalisia... Ogopa sana Hawa watu... Akikuambia 1 na 1 ni 2 ujue inaweza ikawa 11.... Chezea uzao wa kijani ??? Nani aliwahi kumwona green mamba kirahisi kwenye mwembe ?????
 
🤣😆😃😁😄😂😂😁😃😃😀😀😀😁😂😂😄😄
20230707_144117.jpg
Tumepigwa Tumechakaa
Wazaramo Wanasema Mkoko Unaalika Maua
 
Sihitaj ushaur wa machoko maku we, watu wapo serious mnaleta umaku SI Kila mtu anhitaj masihara ya kingese msee, unajitia ujuaji kudandia mambo ya watu we choko nini
 
Nikiangalia huu mfuuko wa bei nawaza sana
Hapo ndo tatizo lilipo, mshahara umebaki palepale mfumko wa bidhaa ukipaa kwa kasi......madelu keshaongeza buku kwenye mfuko wa simenti hapo bado hujakutana na mfumuko zaidi kwenye vyakula, vifaa vya ujenzi na mavazi, vyama vya wafanyakazi vipo kutafuna michango tu sioni kama wana msaada.​
 
Back
Top Bottom