Tetesi: Mshahara wa mwezi huu July 2023, tutarajie makubwa!

Tetesi: Mshahara wa mwezi huu July 2023, tutarajie makubwa!

Mungu wangu nilikuwa nabisha nimeangalia sms hakuna hata cent moja iliyoongezwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuliwaonya mapema kujiandaa kiakili na pia kisaikolojia! Lakini hamkutusikia.
 
Kumbe umeona sms kwa mdingi wako?
Kwani sms ya mshahara inakuwa na title kuwa huu ni mshahara?
Vipi kama ni pesa kaipokea kutoka sehemu nyingine ambayo si mshahara...?
Hebu tumia akili kidogo, halafu inaonekana upo upo tu hauna nyuma wala mbele bado unaishi kwa wazazi na kuwategemea wakupe vocha!!!
😂😂😂, Mzeeh pesa za mishahara zinajulikana sana,salary nyingi baada ya makato ya Serikali zinakuwa na chenji(nadhani umeelewa nachomaanisha hapa) Apart from that Salary(Take home)ya Dingi wangu naijua mkuu
 
Mungu wangu nilikuwa nabisha nimeangalia sms hakuna hata cent moja iliyoongezwa
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png

Mungu wangu nilikuwa nabisha nimeangalia sms hakuna hata cent moja iliyoongezwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Upo benki gani, boss maana NMB Bado huku
 
Ndio mmeshapewa hayo makubwa muishi nayo na ni makubwa kwelikweli
 
M

Mkuu tuwe na imani na ahadi ya Mheshimiwa, anatujali sana ujue!
Mtumishi amegeuka mwarabu ili Utawala huu umjali. Wao mbele kwa mbele na mwarabu watumishi mtajijua wenyewe.. kina wenyewe na wenyewe ni waarabu !!
 
Sidhani kama tutaweza kufika huko,
Mtumishi amegeuka mwarabu ili Utawala huu umjali. Wao mbele kwa mbele na mwarabu watumishi mtajijua wenyewe.. kina wenyewe na wenyewe ni waarabu
 
Back
Top Bottom