Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Mwezi wa Saba mshahara Huwa unachelewaLabda kama unelipwa na serikali ya DARUSO. Ila ya JMT bado labda jumatatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwezi wa Saba mshahara Huwa unachelewaLabda kama unelipwa na serikali ya DARUSO. Ila ya JMT bado labda jumatatu
Toka kwa Msigwa kuhusu mshahara wa mwezi huuUfafanuzi tena?
Nyie mnapoke mishara ya wapi ...mbona mshahara umetoka na hakuna mabadiliko!Jamani, sema kweli mkuu?
Acha ubishi mkuu, Salary tayari.Labda kama unelipwa na serikali ya DARUSO. Ila ya JMT bado labda jumatatu
Acha ubishi mkuu, Salary tayari.
Source ni meseji niliyoiona hapa kutoka kwa Simu ya Mdingi wangu,, ameniachia Simu nimrekebishie kitu,, meseji imeingia sasa hivi kutoka NMB Simu bank..
Hivi hapa simrudishii Simu yake Hadi anipe ahadi ya kuniyungisha kilo 30 weekend iwe MororoH na hii siku ya Wananchi
[emoji23]Acha ubishi mkuu, Salary tayari.
Source ni meseji niliyoiona hapa kutoka kwa Simu ya Mdingi wangu,, ameniachia Simu nimrekebishie kitu,, meseji imeingia sasa hivi kutoka NMB Simu bank..
Hivi hapa simrudishii Simu yake Hadi anipe ahadi ya kuniyungisha kilo 30 weekend iwe MororoH na hii siku ya Wananchi
Shukurani Kwani ni za mama yake au hisani?Muwe na shukrani mumepandishwa madaraja yule aliyepita mlikaa miaka mitano kavu kavu.
Hivi ni kweli imetoka?NMB tayari kitambo
Acha kukariri,salary tayarMwezi wa Saba mshahara Huwa unachelewa
Ukiyatarajia wewe inatosha. Ahadi tupu nani ana muda nazo? hata dpw hawana uhakika na ahadi zake! Uongo uongo tu!Itakumbukwa katika sherehe za Mei mosi mwaka huu Mh. Rais aliahidi kurudisha annual increment kuanzia mwaka huu wa fedha. Nyongeza hiyo ya mwaka ilisimama kwa muda mrefu!
Salary tayarLabda kama unelipwa na serikali ya DARUSO. Ila ya JMT bado labda jumatatu