Mshahara wa mwezi Mei kuingia kwa mafungu/makundi

Duuuh sasa watumishi wataishije jamani.. sisi wengine tushajishukuru tuko tunapambana na majaruba yetu ya mpunga
 
Mkuu umejaza pepmis lakini
 
Mbona mshahara mwezi huu kuna kundi kubwa hawajapata hasa vyuo vikuu ila halmashaur wote tayari.
Nani asaidie ufafanuzi?
inasemekana bakuli la hazina limepungua, hela nyingi sana zimetumika kulipa na kununua wana chadema kwenda chauma. a lot of money. adui wa Tanzania kwa sasa ni ccm na chauma manake hao wanakula sana kodi zetu. we jiulize, serikali pesa zote inatumia ni budgeted, sasa hiyo hela ya kugharimia chauma, magari, ofisi, mikutano n.k wanapata wapi? hii yote raia wanaumia ili mama fulani hivi awe rais. hakuna namna nyingine anaweza kuwa rais bila haya anayoyafanya?
 
Duuuh sasa watumishi wataishije jamani.. sisi wengine tushajishukuru tuko tunapambana na majaruba yetu ya mpunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…