Mr Mayunga
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 313
- 40
Dah,halmashauri za wenzetu sijui kumekaaje huko,yakwangu mpaka mda huu hola!na sio kawaida kufika tarehe hizi.Inawezekana hazina kuna tatizo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah,halmashauri za wenzetu sijui kumekaaje huko,yakwangu mpaka mda huu hola!na sio kawaida kufika tarehe hizi.Inawezekana hazina kuna tatizo.
Mwanza hapa ova!, Ndiyo, halmashauri ya jiji....ova! ATM zote zimenuna kweli ova! Hakuna mshahara, haijawahi kutokea miaka ya hivi karibuni, nadhani mwezi huu kinanuka!

Mbona balaa kwetu bado ova
Tehe..tehee.....!Dah,halmashauri za wenzetu sijui kumekaaje huko,yakwangu mpaka mda huu hola!na sio kawaida kufika tarehe hizi.Inawezekana hazina kuna tatizo.