Mshahara wa mwezi wa 5.

Mshahara wa mwezi wa 5.

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
313
Reaction score
40
Dah,halmashauri za wenzetu sijui kumekaaje huko,yakwangu mpaka mda huu hola!na sio kawaida kufika tarehe hizi.Inawezekana hazina kuna tatizo.
 
Mwanza hapa ova!, Ndiyo, halmashauri ya jiji....ova! ATM zote zimenuna kweli ova! Hakuna mshahara, haijawahi kutokea miaka ya hivi karibuni, nadhani mwezi huu kinanuka!
 
Mumbane mkurugenzi wenu,watu tumeramba tangu tar. 23,sasa zimeshaisha tunasubiri mshahara wa june
 
Mwanza hapa ova!, Ndiyo, halmashauri ya jiji....ova! ATM zote zimenuna kweli ova! Hakuna mshahara, haijawahi kutokea miaka ya hivi karibuni, nadhani mwezi huu kinanuka!

mbona mie nishalamba na nisha maliza tangu 24.05.2012?
 
Mwanza hapa ova!, Ndiyo, halmashauri ya jiji....ova! ATM zote zimenuna kweli ova! Hakuna mshahara, haijawahi kutokea miaka ya hivi karibuni, nadhani mwezi huu kinanuka!

Poleni sana Mwanza over and out.
 
Mie kwe2 2mepata tar. 25. O5. 2o12 so ucjal ndo ivyo utapata 2 ni haki yko, hata kama utachelewa. Kama vp hama halmashaur
 
Dah,halmashauri za wenzetu sijui kumekaaje huko,yakwangu mpaka mda huu hola!na sio kawaida kufika tarehe hizi.Inawezekana hazina kuna tatizo.
Tehe..tehee.....!
Mayunga usilie, hela zipo ila ngoja wazifanyie business, kesho au k'kutwa ATM zitakuwa tayari. Maana hata H/m yetu bado.
 
njaa jamani njaa inauma, haya majitu mishahara yetu vipi jamani? mwanza kuna tatizo gani yarabi?
 
Back
Top Bottom