Mshahara wa nyota mpya wa Simba, Adam Salamba ni milioni 48

Huyo Mo ndio kavaa nini? Kijana wa kiume kwa mavazi hayo hapana kwakweli
 
Hakuna kinachoshindikana mbele ya pesa hasa katika soka kwani imefahamika kwamba mshambuliaji mpya wa Simba Adam Salamba atavuna kiasi cha pesa ambacho hakika hakuwahi kuvuna katika maisha yake ya soka.

Inaelezwa kuwa dau la kuipata saini ya mshambuliaji huyo kutoka Lipuli limewagharimu Simba kiasi cha shilingi milioni 40 ambapo katika pesa hiyo Lipuli wamelamba milioni 25 kama gharama ya kuvunja mkataba huku Salamba akitia kibindoni milioni 15 kama ada yake ya usajili.

Pamoja na hayo, Salamba atapokea kiasi cha shilingi milioni mbili kwa mwezi katika kipindi chote cha mkataba wake wa miaka miwili ambapo jumla yake ni milioni 48 kwa kipindi chote.
Huo usafiri wa tajiri sasa.
 
Aaaaaaghkaaa!!!!!! mo kachafua na kipensi chake, mashaka sana hicho kipensi.
 
Hakuna kinachoshindikana mbele ya pesa hasa katika soka kwani imefahamika kwamba mshambuliaji mpya wa Simba Adam Salamba atavuna kiasi cha pesa ambacho hakika hakuwahi kuvuna katika maisha yake ya soka.

Inaelezwa kuwa dau la kuipata saini ya mshambuliaji huyo kutoka Lipuli limewagharimu Simba kiasi cha shilingi milioni 40 ambapo katika pesa hiyo Lipuli wamelamba milioni 25 kama gharama ya kuvunja mkataba huku Salamba akitia kibindoni milioni 15 kama ada yake ya usajili.

Pamoja na hayo, Salamba atapokea kiasi cha shilingi milioni mbili kwa mwezi katika kipindi chote cha mkataba wake wa miaka miwili ambapo jumla yake ni milioni 48 kwa kipindi chote.
karibu usugue bench
 
Lkn upande wetu mmhh kila siku naona kama mambo si mambo tena
Mdogo mdogo Mkuu sababu huwa wanasema hakuna aijuaye kesho huenda huko mbele mambo yakawa tofauti kabisa na tunayoana sasa.
 
Back
Top Bottom