Blueprint 9
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 798
- 1,381
Kwakua alievaa hivyo ni tajiri na mtoa pesa sio? Mnajifanya vipofunegative overthinking,hili ni tatizo kubwa kwa masikini...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakua alievaa hivyo ni tajiri na mtoa pesa sio? Mnajifanya vipofunegative overthinking,hili ni tatizo kubwa kwa masikini...
ulikua unafikiri kama mimi....million 2 mshahara wa kawaida sanaMilioni 2 kwa Mwezi... Nikajua Mil 48 kwa mwezi
Atakuwa sele mkuu.Hapo kuna dau la muunganisha dili
Ndogo mno...!Milioni mbili kwa mwezi sio mbaya kwa mchezaji anayejitambua anataka nini mbeleni. tafuta signing fee ya mlipili na kichuya na mishahara yao kwa mwezi halafu angalia watakapokuja kuongeza mkataba watalipwa nini. cha msingi afanye kazi ndani ya msimu huu wa ligi aongeze thamani yake simba wenyewe watapanda dau la mshahara na ada ya usajili achilia vilabu vingine.
Yanga mkikosa hoja za uwanjani mnaanza kukashfuHicho kipensi na huo usimamaji ni mashaka makubwa sana
Dogo alikuwa yuko vizuri ila uchekibobu ulimgharimu akaua mwenyewe kipaji chake. Kwa moto aliokuwa nao angekuwa yuko mbele sasa hiviYupo wapi huyu?
Alipigwa misumari ya kutosha, kwa sasa hata hajulikani alipo. Simba siyo mahali salama kwa young players.Yupo wapi huyu?