Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Mm nilijua mustafa Hassanali.
HahahaMi nilijua Ally Remtullah
Kwa mshahara wa <1mil itakuchukua miaka 4 kazini wakati salamba anapata ndani ya miaka 2 tu.Milioni 2 kwa Mwezi... Nikajua Mil 48 kwa mwezi
Umeona eeh...........Hicho kipensi na huo usimamaji ni mashaka makubwa sana
Milioni 2 kwa Mwezi... Nikajua Mil 48 kwa mwezi
Ujue mie nilijua M. 48 kama kichwa cha uzi kinavyosema.Hiyo 2 M ni hela ndogo sana, huyo hapo atabaki not more than 1.5 M baada ya Kodi na mengine
Huo usafiri wa tajiri sasa.
Hakuna kinachoshindikana mbele ya pesa hasa katika soka kwani imefahamika kwamba mshambuliaji mpya wa Simba Adam Salamba atavuna kiasi cha pesa ambacho hakika hakuwahi kuvuna katika maisha yake ya soka.
Inaelezwa kuwa dau la kuipata saini ya mshambuliaji huyo kutoka Lipuli limewagharimu Simba kiasi cha shilingi milioni 40 ambapo katika pesa hiyo Lipuli wamelamba milioni 25 kama gharama ya kuvunja mkataba huku Salamba akitia kibindoni milioni 15 kama ada yake ya usajili.
Pamoja na hayo, Salamba atapokea kiasi cha shilingi milioni mbili kwa mwezi katika kipindi chote cha mkataba wake wa miaka miwili ambapo jumla yake ni milioni 48 kwa kipindi chote.
Hawa thimba utaweza binamu, bongo hakuna hela kama hiyoUjue mie nilijua M. 48 kama kichwa cha uzi kinavyosema.
Nilitaka kupigwa na butwaa aiseee.Hawa thimba utaweza binamu, bongo hakuna hela kama hiyo
Ni kweli kwasababu ukichukua 48,000,000×12= ? Halafu mara 2 ingekuwa balaaNilitaka kupigwa na butwaa aiseee.
Wacha kabisa. Ila tusubiri tuone ni nini atafanya msimu ujao huyo Adam Salamba.Ni kweli kwasababu ukichukua 48,000,000×12= ? Halafu mara 2 ingekuwa balaa
Ngoja tusubiri, uzuri wa football inachezwa barazani kila mtu anaonaWacha kabisa. Ila tusubiri tuone ni nini atafanya msimu ujao huyo Adam Salamba.
negative overthinking,hili ni tatizo kubwa kwa masikini...Hicho kipensi na huo usimamaji ni mashaka makubwa sana
Hakika Mkuu.Ngoja tusubiri, uzuri wa football inachezwa barazani kila mtu anaona
karibu usugue bench
Hakuna kinachoshindikana mbele ya pesa hasa katika soka kwani imefahamika kwamba mshambuliaji mpya wa Simba Adam Salamba atavuna kiasi cha pesa ambacho hakika hakuwahi kuvuna katika maisha yake ya soka.
Inaelezwa kuwa dau la kuipata saini ya mshambuliaji huyo kutoka Lipuli limewagharimu Simba kiasi cha shilingi milioni 40 ambapo katika pesa hiyo Lipuli wamelamba milioni 25 kama gharama ya kuvunja mkataba huku Salamba akitia kibindoni milioni 15 kama ada yake ya usajili.
Pamoja na hayo, Salamba atapokea kiasi cha shilingi milioni mbili kwa mwezi katika kipindi chote cha mkataba wake wa miaka miwili ambapo jumla yake ni milioni 48 kwa kipindi chote.
Lkn upande wetu mmhh kila siku naona kama mambo si mambo tenaHakika Mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] lolHicho kipensi na huo usimamaji ni mashaka makubwa sana
Mdogo mdogo Mkuu sababu huwa wanasema hakuna aijuaye kesho huenda huko mbele mambo yakawa tofauti kabisa na tunayoana sasa.Lkn upande wetu mmhh kila siku naona kama mambo si mambo tena