Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mzee huwezi kufanya maamuzi binafsi kuhusu maisha yako hadi utumie akili za dada yako.My sister once told me,,,"Juma kama we ni m2mishi na mwez hata haujafika kat huna hata 10000,hiyo kaz ni bora uache...."nikaa nkafkiri kwa kina mateso nayopta huko mzigon nkaona bora nkae zangu pemben nowaachie ajira yao....yaan dume zima ukiombwa hata lak 1 tu daily huna...
Na michango ya ndoa[emoji23]Laki 5 Take Home. Il kila Mwezi, Kabla sijaipokea Madeni yanakuwa kibao. Hata hapa nadaiwa kama Laki 2 hivi[emoji134] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Acheni masihara kwangu mbona bado?Tayari[emoji28][emoji28][emoji28]
Ana mkopo bank, hawezi kuachaKama vp acha kaz
Mimi nimeacha kuchangia ndoaNa michango ya ndoa[emoji23]
Mwambie awe na subira.Mkuu ndio kwanza tarehe 21
Wamesema huwa wanapata tar 19 nikaona niwaache na tar 35 yanguMwambie awe na subira.
Hela ya Bia je? Nyama?Mimi nimeacha kuchangia ndoa
Labda mtu anaumwa na nathibitisha kuwa kweli anadaiwa na Hospital
Lazma tujifunze kuwa na nidham ktk bajeti
Mfano, unaweza kuwa na take home ya laki 5 na unaweza kujenga Nyumba kwa hatua kwa kutumia mkopo
...laki 2 mkopo benki
...laki 1.5 matumz ya familia kama ipo
...laki 1 nauli
...elfu 50 amana ya dharura kila mwezi
Full stop
Kila mwezi
NB: Jitoe kwenye vyama vya Wafanyakazi
Achana kuchangia Mambo yasiyo na tija
Mi nko nakopa bia hapa tutajuana ukiingia
Wangu tayar umeishaaMkuu ndio kwanza tarehe 21