Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana Bodi, Sio kwa mfulio huu![emoji134] [emoji24] .
Hela niliyobaki nayo haifiki hata Elfu Tano za Kitanzania.[emoji134] [emoji24]
UTAJIJA NYIE NDO MNADANDIAGA MALORI NA MAKOFIA YENU NA MATISHT YA SHIGONGO KWENDA KUPIGA KURA SHAURI ZAKO.............. KAKOPE SERIKALI ZA MITAA NI CCM WENZIOLaki 5 Take Home. Il kila Mwezi, Kabla sijaipokea Madeni yanakuwa kibao. Hata hapa nadaiwa kama Laki 2 hivi[emoji134] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji15] [emoji134] [emoji24] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]UTAJIJA NYIE NDO MNADANDIAGA MALORI NA MAKOFIA YENU NA MATISHT YA SHIGONGO KWENDA KUPIGA KURA SHAURI ZAKO.............. KAKOPE SERIKALI ZA MITAA NI CCM WENZIO
HAHAHAHA KIKIKI[emoji15] [emoji134] [emoji24] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
Mkuu safi sana...lazima kuwe na nidham kwenye FedhaMimi nimeacha kuchangia ndoa
Labda mtu anaumwa na nathibitisha kuwa kweli anadaiwa na Hospital
Lazma tujifunze kuwa na nidham ktk bajeti
Mfano, unaweza kuwa na take home ya laki 5 na unaweza kujenga Nyumba kwa hatua kwa kutumia mkopo
...laki 2 mkopo benki
...laki 1.5 matumz ya familia kama ipo
...laki 1 nauli
...elfu 50 amana ya dharura kila mwezi
Full stop
Kila mwezi
NB: Jitoe kwenye vyama vya Wafanyakazi
Achana kuchangia Mambo yasiyo na tija
Tatu nzuka!hapa ni kucheza bahati nasibu tu hamna namna..
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Huoooooooo
Za kuambiwa Changanya na zako"in JK's voiceKwa hiyo mzee huwezi kufanya maamuzi binafsi kuhusu maisha yako hadi utumie akili za dada yako.